Nafasi Ya Matangazo

March 28, 2017


Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 mbeye ya Wabunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) akiongoza Kikao cha Wabunge wote mjini Dodoma ambacho kilipokea Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 mbeye ya Wabunge mjini Dodoma leo.Kuhoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na kulia ni Naibu Spika, Dk Tulia Ackson.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akitoa maelezo kabla Waziri wa Fedha na Mipango haja wasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 mbeye ya Wabunge mjini Dodoma leo.Katikati ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyekuwa anaongoza na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.
 Wabunge wakisalimiana kabla ya kuanza kikao.
Wabunge wakisikiliza maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (hayupo pichani) wakati Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 mbeye ya Wabunge mjini Dodoma leo. 
 *************
MAELEZO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB) AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO

WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI

YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18
Posted by MROKI On Tuesday, March 28, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo